TANGAZA NA BLOG HII KWA GHARAMA NAFUU

TANGAZA NA BLOG HII KWA GHARAMA NAFUU

Saturday, 31 January 2015

PICHA ZA MATUKIO YA KIKAO CHA SERIKALI YA MITAA NA WAWAKILISHI WA TAASISI ZILIZOPO MAKONGO JUU.

 MJUMBE WA SERIKALI YA MTAA
     MUWAKILISHI WA VIJANA SERIKALI YA MITAA
     WAWAKILISHI WA TAASISI WAKISIKILIZA KWA MAKINI

    MWENYEKITI NA KATIBU WA SERIKALI ZA MITAA

    MUWAKILISHI KUTOKA MAKONGO KASKAZINI
    MJUMBE;SEBIUS AKIWAKILISHA

    MUWAKILISHI WA WANAWAKE KUTOKA SAIBELI
   MUWAKILISHI KUTOKA CHUO CHA ARDHI

    MUWAKILISHI KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI
    MWENYEKITI WA CHADEMA KATA


  MJUMBE SERIKALI YA MITAA
   MJUMBE SERIKALI YA MITAA
    MWENYEKITI MTEULE

MH.CHENGE ACHARUKA BUNGENI KUHUSU SAKATA LA UFISADI

http://inocomm.blogspot.com/2015/01/mh-chenge-acharuka-bungeni-kuhusu.html?spref=fb

Friday, 30 January 2015

FISADI KIWEMBE

Kila siku twasema michepuko sio ishu! muuza genge achezea kichapo akiwa utupu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu picha na video hapa vinaonyesha tukio zima==>http://kigoma24hours.blogspot.com/…/kila-siku-twasema-miche…
Kila siku twasema michepuko sio ishu! muuza genge achezea kichapo akiwa utupu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu picha na video hapa vinaonyesha tukio zima
kigoma24hours.blogspot.com

MUONEKANO WA BARABARA YA KUELEKEA KWA MAWAZIRI WA STAAFU MAKONGO JUU.

              NINI MAONI YAKO??

KAPETOO!!!!!


MUONEKANO WA ZAHANATI YA MAKONGO JUU.


HATARI!!!!

 MUONEKANO WA NGUZO ZINAZOELEKEA KUANGUKA MAENEO YA CHAMA KUELEKEA ZAHANATI YA MAKONGO JUU
HII IPO JIRANI NA MAKAZI YA WATU

MAKONGO JUU NI MOJA YA MAENEO YENYE UWEKEZAJI MKUBWA WA MINARA YA SIMU NA TELEVISHENI,JE KIJIJI KINANUFAIKA NA UWEKEZAJI HUU?


 MUONEKANO WA BAADHI YA MINARA KAMA ILIVYO CHUKULIWA NA MWANDISHI WETU.


JOBS IN TANZANIA: REGIONAL MANAGER AT OFF.GRID:ELECTRIC - TANZANIA

JOBS IN TANZANIA
ajirampyatanzania.blogspot.com|By JOBS IN TANZANIA

HII NDIYO CARTOON ILIOSABABISHA GAZETI LA EAST AFRIXAN KUPIGWA MARUFUKU TANZANIA


Like ·

FURSA HIYO WADAU KAZI YANGU KUWAJUZA

Jobs Opportunities from Tigo Tanzania and Other places. Nafasi za kazi toka Tigo na sehemu nyingine nyingi tembelea hapa http://bestjobsopportunities.blogspot.com/
Business Development Officer Green Society: Green Energy/Finance
http://bestjobsopportunities.blogspot.com/…/business-develo…
Customer Experience Manager Tigo Tanzania
Business Development Manager, EduMe Tigo Tanzania...

See More

SOMA MAGAZETI YOTE BONGO 31-01-2015

.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.
.
.
.
.

LEMA,LISU,ESTER BULAYA WALIPUKA BUNGENI,NI UFISADI WA KUTISHA,SOMA KAULI ZAO HAPA.

http://habari24.blogspot.com/2015/01/lemalisuester-bulaya-walipuka-bungenini.html



Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, hitmaker huyo wa ‘Kama Unataka Demu’, amedai kuwa baada ya kukaa kimya kwa miaka miwili ambapo alikuwa akifanya mambo ya msingi zaidi kimaisha, hivi karibuni anarejea tena kwenye muziki.


Rapper huyo amesema mashabiki wategemee mabadiliko makubwa kwakuwa muziki umebadilika na yeye hajaachwa nyuma huku akisema kuwa beat aliyoitumia kwenye wimbo huo ni kama zile zinazofanya vizuri sasa Marekani za wasanii kama ASAP Rocky au French Montana.

Amesema kwenye wimbo huo ametumia mtindo tofauti ambao watu wengi hawategemei kama anaweza kuifanya kwakuwa ni ya kizazi cha sasa.

Moe amedai kuwa amesharekodi wimbo mpya uitwao ‘Jah’ aliomshirikisha G-Nako.

Akielezea jinsi alivyorekodi wimbo huo, Moe amedai kuwa alienda kwenye studio za B Records zilizo chini ya producer Chizan Brain na kusikilizwa beat ya trap aliyoipenda.

Hata hivyo beat hiyo tayari ilikuwa imewekewa chorus aliyoifanya G-Nako iliyomvutia. Jay alimpigia G-Nako kumuomba wimbo huo uwe wake na rapper huyo wa Weusi alikubali.

Wimbo huo kwa mujibu wa Jay Moe utatoka hivi karibuni.