
Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake leo jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio

Kijana
anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa
amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na
damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisu
No comments:
Post a Comment