TANGAZA NA BLOG HII KWA GHARAMA NAFUU

TANGAZA NA BLOG HII KWA GHARAMA NAFUU

Wednesday, 28 January 2015

MATOKEO YA AZAM VS TP MAZEMBE FC HAYA HAPA

Mechi kati ya timu ya TP Mazembe ya Congo na Azam FC ambayo imemalizika pia muda mfupi uliopita katika Uwanja wa timu ya TP Mazembe ambapo wenyeji hao wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC.

No comments:

Post a Comment