GK asema Diva ndiye mpenzi wake bora kuliko wote aliowahi kuwa nao
Rapper wa East Coast Team, King Crazy GK amefunguka na kuweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanadada Diva Loveness Love.
Akizungumza na kipindi cha Mkasi kupitia EATV Jumatatu (Jan.12), GK alisema Diva ni mpenzi wake bora kuliko wapenzi wake waliopita, huku akidai kuwa mitandao ya kijamii imechangia ku-boost penzi lao
“inawezekana, kwa sababu ni mwema kwanza halafu na mitandao, unakuta watu wana exchange information, mpenzi wangu wa sasa anazungumziwa sana kwa sababu kuna njia nyingi za kupashana habari” alisema GK......... KWA HABARI KAMILI CLICK APA;-http://africanmishe.blogspot.com/…/gk-asema-diva-ndiye-mpen…

No comments:
Post a Comment