TANGAZA NA BLOG HII KWA GHARAMA NAFUU

TANGAZA NA BLOG HII KWA GHARAMA NAFUU

Thursday, 29 January 2015

HAKI ITATENDEKA KWA MUJIBU WA SHERIA

LIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO

 Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu shitaka la kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya jinai.  Prof Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.  Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo. Mwanahabari kutoka DW akimhoji mmoja wa wanachama wa CUF.  Kwa hisani ya Father Kidevu Blog Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe gideonsongor@gmail.com

No comments:

Post a Comment