
Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu
shitaka la kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya jinai.
Prof Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho
kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu Dar es Salaam leo.
Mwanahabari kutoka DW akimhoji mmoja wa wanachama wa CUF.
Kwa hisani ya Father Kidevu Blog
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe gideonsongoro@gmail.com
No comments:
Post a Comment